Hali ya utoro na kuacha Shule kwa watoto wakike wilayani Ngara
10 May, 2021
Author : Wotesawa
Source : News
Hali ya utoro na kuacha Shule kwa watoto wakike wilayani Ngara kwa sababu tofauti mojawapo kuja mjini kufanya kazi za nyumbani .

Hivyo basi Shirika la WoteSawa lipo Wilayani Ngara kwa muda wa wiki Moja tarehe 10_14/May/2021 Ili kuweza Kuwajengea uwezo walezi wa school club 264 kutoka Shule za msingi Wilaya nzima katika kuchochea usawa na kuwafanya watoto wakike wabaki Shule.

Hii itachochea kuongeza ufanisi wa uendeshaji wa school club hizo ,itaondoa vitendo vya ukatili shuleni na kufanya watoto waone Shule ni sehemu salama.
#Equality for all