Promoting the rights of domestic workers ,and children and youths living and working in the streets
03 September, 2021
Source : News

Leo tarehe 3/09/2021, WoteSawa, imetembelewa na wageni kutoka Legal Services Facility (LSF) ambao ni wafadhili wetu katika mradi wa "Kuhamasisha Upatikanaji wa Haki kwa Wafanyakazi wa Nyumbani na Watoto na Vijana wanaoishi na Kufanyakazi Mtaani kupitia Uwezeshwaji wa Kisheria." Lengo la ugeni huu ni kuangalia maendeleo ya utekelezaji wa mradi unaofadhiliwa na LSF.

Aidha, LSF waliambatana na wawakilishi kutoka shirika la Railway Children Africa ambao pamoja na WoteSawa, ndio watekelezaji wa mradi.