The Voice of Child Domestic Workers


News, Announcements and Job Vacancies
Shirika la WOTESAWA labaini idadi kubwa ya Watoto wanaoajiriwa Majumbani
14 July, 2019
News Updates

Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Watoto Wafanyakazi wa Nyumbani WOTESAWA, Angel Benedicto amesema kasi ya watoto kuajiriwa kufanya kazi za nyumbani inazidi kuongezeka Jijini Mwanza.

Read More...
Polisi Mwanza kushirikiana na taasisi ya WOTESAWA kupambana na Ukatili kwa...
20 July, 2019
Announcements

Jeshi la polisi mkoani Mwanza limesisitiza kusimamia sheria ya mtoto ili kuhakikisha watoto chini ya umri wa miaka 14 hawatumikishwi katika shughuli mbalimbali ikiwemo kuajiriwa kufanya kazi za nyumbani.

Read More...
Wafanyakazi wa Nyumbani Jijini Mwanza wafurahia Mafunzo ya Afya ya Uzazi
03 July, 2019
News Updates

Wafanyakazi wa nyumbani wapatao 5o Jijini Mwanza wameyapokea kwa furaha mafunzo ya afya ya uzazi, yanayotolewa na Shirika la Kutetea Haki za Watoto Wafanyakazi wa Nyumbani WOTESAWA.

Mafunzo hayo yalianza jana Januari...

Read More...
Shirika la WoteSawa latoa mafunzi kwa watoto wafanyakazi wa nyumbani...
19 July, 2019
News Updates

Mkurugenzi wa Shirika la Wote Sawa la jijini Mwanza, Angel Benedicto, akiwaelekeza washiriki wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kisheria Watoto wafanyakazi wa nyumbani (CDWs), ili waweze...

Read More...
In pursuit of child rights in Tanzania
19 June, 2019
News Updates

"I was supposed to be the first one awake to get the children up and send them to school, and then take care of the household chores. And then I was the last one to bed at...

Read More...

Report Domestic Worker Abuse

As a society, we have a responsibility to point out the evil among us. Feel free to communicate with us to report domestic worker abuse. Your report is confidential. Click here to communicate via an online form, or P.O Box 10801, Mwanza, Tanzania. Also, you can call us via + 255 (0)767 802 238. And HOTLINE 0800 710 066 FREE.

Report Now


Copyright © 2019 WoteSawa. All rights reserved