Polisi Mwanza kushirikiana na taasisi ya WOTESAWA kupambana na Ukatili kwa...
20 July, 2019
Announcements
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limesisitiza kusimamia sheria ya mtoto ili kuhakikisha watoto chini ya umri wa miaka 14 hawatumikishwi katika shughuli mbalimbali ikiwemo kuajiriwa kufanya kazi za nyumbani.