The Voice of Child Domestic Workers


Shirika la WOTESAWA labaini idadi kubwa ya Watoto wanaoajiriwa Majumbani
13 July, 2017
Author : WoteSawa
Source : Rweyunga Blog


Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Watoto Wafanyakazi wa Nyumbani WOTESAWA, Angel Benedicto amesema kasi ya watoto kuajiriwa kufanya kazi za nyumbani inazidi kuongezeka Jijini Mwanza.

Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na shirika la WOTESAWA katika Kata nne za Manispaa ya Ilemela ambazo ni Kitangiri, Kawekamo, Nyasaka na Kiseke umebaini watoto zaidi ya 400 walioajiriwa kufanya kasi za nyumbani.


Hata hivyo shirika hilo kupitia mradi wake wa Paza Sauti ya Mfanyakazi wa Nyumbani unaofadhiliwa na Shirika la The Voice kupitia serikali ya Uholanzi, limeanza kutoa elimu kwa viongozi wa serikali za mitaa wakiwemo Madiwani, Wenyeviti wa Mitaa, Watendaji wa Mitaa, waajiriwa wa kazi za nyumbani pamoja na waajiri wao ili kupambana na hali hiyo katika Kata tajwa hapo juu ambazo zinanufaika na mradi huo.Report Domestic Worker Abuse

As a society, we have a responsibility to point out the evil among us. Feel free to communicate with us to report domestic worker abuse. Your report is confidential. Click here to communicate via an online form, or P.O Box 10801, Mwanza, Tanzania. Also, you can call us via + 255 (0)767 802 238. And HOTLINE 0800 710 066 FREE.

Report Now


Copyright © 2019 WoteSawa. All rights reserved