H.E. Ambassador Donald J. Wright visits WoteSawa
09 November, 2021
Author : WoteSawa
Source : News
Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mheshimiwa Donald J. Wright, ametembelea WoteSawa- asasi inayoongozwa na Mrs. Angela Benedicto, kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na shirika. Aidha Balozi Wright aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Robert Gabriel pamoja na viongozi wengine mbalimbali. Angela Benedicto, ambaye ni Mkurugenzi wa WoteSawa ni mmoja wa wahitimu wa mafunzo ya ujasiliamali yaliyotolewa na ubalozi wa Marekani kupitia programu ya AWE. Balozi alifurahia na kulipongeza shirika kwa kazi nzuri wanayoifanya katika kuwajengea wasichana - wafanyakazi wa majumbani. uwezo wa kiuchumi.