EMAIL US AT info@wotesawa.or.tz
CALL US NOW +255-282-500-599
DONATE NOW

Ahsante Karimjee Foundation kwa kuleta tabasamu kwa wafanyakazi wa nyumbani , Dar-es-Salam

WoteSawa tunayo furaha ya kuingia ubia (partnership) na Shirika la Karimjeefoundation kwa lengo la kufanya nao kazi katika kumuwezesha mfanyakazi wa nyumbani na kupinga biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu nchini Tanzania. Kupitia ushirikiano huu, tunaamini kwa pamoja tutasaidia kujenga jamii salama kwa wafanyakazi wa nyumbani na iliyo huru dhidi ya biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu.

Kipekee tunazidi kuwashukuru Karimjeefoundation kwa kutuamini na kutambua mchango wa WoteSawa katika kuleta mabadiliko ndani ya jamii.

Wotesawa

VIEW ALL POSTS

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *