EMAIL US AT info@wotesawa.or.tz
CALL US NOW +255-282-500-599
DONATE NOW

Wotesawa Waadhimisha Siku ya Wafanyakazi 2023

Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wafanyakazi tarehe 1 Mei kila mwaka, WoteSawa tumeweza kushiriki maadhimisho haya katika uwanja wa Mnadani Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza; huku mgeni rasmi akiwa ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Adam Malima.
Mhe. Malima amesisitiza waajiri kuzingatia sheria za kazi na waajiri wasiozingatia sheria za kazi watawajibishwa kuwa kuchukuliwa hatua stahiki za kisheria.
Maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi mwaka huu 2023 yameongozwa na kauli mbiu isemayo “Mishahara Bora na Ajira za Staha ni Nguzo kwa Maendeleo ya Wafanyakazi. Wakati ni Sasa”

Wotesawa

VIEW ALL POSTS

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *