EMAIL US AT info@wotesawa.or.tz
CALL US NOW +255-282-500-599
DONATE NOW

News Article

H.E. Ambassador Donald J. Wright, USA Visits WoteSawa As Mrs. Angela Benedicto Welcomes Him.

Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mheshimiwa Donald J. Wright, ametembelea WoteSawa- asasi inayoongozwa na Mrs. Angela Benedicto, kujionea shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na shirika. Aidha Balozi Wright aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Robert Gabriel pamoja na viongozi wengine mbalimbali. Angela Benedicto, ambaye ni Mkurugenzi wa WoteSawa ni mmoja

Read More

Promoting The Rights of Domestic Workers, Children and Youths Living and Working in The Streets.

Leo tarehe 3/09/2021, WoteSawa, imetembelewa na wageni kutoka Legal Services Facility (LSF) ambao ni wafadhili wetu katika mradi wa “Kuhamasisha Upatikanaji wa Haki kwa Wafanyakazi wa Nyumbani na Watoto na Vijana wanaoishi na Kufanyakazi Mtaani kupitia Uwezeshwaji wa Kisheria.” Lengo la ugeni huu ni kuangalia maendeleo ya utekelezaji wa mradi

Read More