EMAIL US AT info@wotesawa.or.tz
CALL US NOW +255-282-500-599
DONATE NOW

Promoting The Rights of Domestic Workers, Children and Youths Living and Working in The Streets.

Leo tarehe 3/09/2021, WoteSawa, imetembelewa na wageni kutoka Legal Services Facility (LSF) ambao ni wafadhili wetu katika mradi wa “Kuhamasisha Upatikanaji wa Haki kwa Wafanyakazi wa Nyumbani na Watoto na Vijana wanaoishi na Kufanyakazi Mtaani kupitia Uwezeshwaji wa Kisheria.” Lengo la ugeni huu ni kuangalia maendeleo ya utekelezaji wa mradi unaofadhiliwa na LSF.

Aidha, LSF waliambatana na wawakilishi kutoka shirika la Railway Children Africa ambao pamoja na WoteSawa, ndio watekelezaji wa mradi.

Leave a reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *