Hali ya utoro na kuacha Shule kwa watoto wakike wilayani Ngara kwa sababu tofauti mojawapo kuja mjini kufanya kazi za nyumbani . Hivyo basi Shirika la WoteSawa lipo Wilayani Ngara kwa muda wa wiki Moja tarehe 10_14/May/2021 Ili kuweza Kuwajengea uwezo walezi wa school club 264 kutoka Shule za msingi